MAZOEZI YA SIMBA смотреть последние обновления за сегодня на .
Simba Sc wamefanya Mazoezi Uwanja wao wa Bunju ikiwa ni maandalizi ya Mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya De Agosto,Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 16/10/2022 Uwanja aa Benjamin Mkapa.
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
USIPIME! MASHABIKI Wafurika KWENYE MAZOEZI ya SIMBA, Wachezaji WAPYA Wageuka KIVUTIO... KIKOSI cha klabu ya Simba, leo Agosti 19, kimeendelea kufanya mazoezi katika uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar… Global TV tumefika katika uwanja huo na kushuhudia mazoezi hayo ambapo pia tumepiga stori na wachezaji wakongwe ndani ya klabu hiyo, Nahodha John Bocco na Shomari Kapombe, pamoja na wachezaji wapya waliosajiliwa siku chache zilizopita, Chriss Mugalu na Onyango… Wachezaji wa Simba wanafanya mazoezi ya kufa mtu wakijiandaa kuvaana na klabu ya Vital’o kutoka Burundi katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa siku ya Jumamosi Agosti 22, katika kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika uwanja wa Mkapa na Uhuru…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU 🤍 INSTAGRAM 🤍 FACEBOOK 🤍 TWITTER 🤍
Mpenja TV tumekuletea mubashara mazoezi ya mwisho ya Simba Sc kabla ya kuanza Safari ya kuelekea nchini Angola kwaajili ya mchezo wa ligi ya Mabingwa dhidi ya Premioro De Agosto na kuzungumza na kocha Juma Mgunda pamoja no nahodha John Bocco na mfungaji kinara kwa timu ya Simba Sc katikamichuano hiyo ambaye ni Moses Phiri na kufunguka maandalizi yao ya mwisho.
Simba SC wamefanya Mazoezi Uwanja wa Mo Simba Arena Bunju kwa Maandalizi ya Mchezo wa Ligi kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars, Utakaochezwa Februari 3 2023 Uwanja wa Benjamin Mkapa.
🔴#Live: SIMBA WAFANYA MAZOEZI ya MWISHO kwa MKAPA TAYARI KUWAKABILI WYDAD KESHO... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
SUBSCRIBE HAPO JUU tembelea WEBSITE YETU 🤍 INSTAGRAM 🤍 FACEBOOK 🤍 TWITTER 🤍
🤍nyundotv
Simba SC wamefanya Mazoezi yao ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa,ikiwa ni maandalizi ya Mchezo wa kesho wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi dhidi ya Vipers ya Uganda,Utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Saa Moja Usiku.
“Bado Simba inamuhitaji” – Kiungo Hassan Dilunga arejea mazoezini Simba, Ahmed Ally asema wanasubiri dirisha la usajili. Je, ulim-miss?
Kikosi cha Simba kimefanya Mazoezi ya Mwisho kuelekea Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca kutoka Nchini Morocco. Mazoezi haya ya Mwisho yamehusisha wachezaji wote wa kikosi cha kwanza cha Simba akikosekana Kanoute ambaye atakosa Mchezo wa Kesho kutokana na kuwa na kadi tatu za Njano.
Video from Boniface Gideon
Hivi ndivyo 'Mnyama' Simba alivyohitimisha mazoezi yake hapa Casablanca, Morocco tayari kuivaa Wydad AC leo kwenye mechi ya mkondo wa pili Ligi ya Mabingwa Afrika.
Timu ya Simba imefanya Mazoezi yao ya Mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo wa kesho wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi dhidi ya Horoya Athletic Club ya Guinea ,Utakaochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Saa Moja Usiku .
Simba Vs Yanga Simba Vs Yanga Leo Simba Vs Yanga Live Leo Simba Vs Yanga Leo Live Simba Vs Yanga Live Simba 2-0 Yanga Magoli Yote Simba Vs Yanga 2-0 Magoli Yote Simba 2-0 Yanga Yanga Vs Simba Yanga Vs Simba Leo Yanga Vs Simba Live Yanga Vs Simba Live Leo Yanga Vs Simba Leo Live Yanga 0-2 Simba Magoli Yote Yanga Vs Simba 0-2 Magoli Yote Yanga 0-2 Simba Goli La Henock Inonga Dhidi Ya Yanga Goli La Kibu Denis Dhidi Ya Yanga Goli La Inonga Vs Yanga Goli La Kibu Denis Vs Yanga #SimbaSc #YangaSc #HajiManara #Yanga #Simba #NbcPl #MoDewji #AzamTv
ONA NDINGA Za WACHEZAJI Wa SIMBA Wakiwa Mazoezini, BOCCO, AJIB Usipime! Tumezoea kuona wachezaji wa Ulaya wakitinga mazoezini na ndinga zao kali, lakini kwa sasa sio Ulaya tu hapa Tanzania wachezaji wa klabu ya Simba wameanza utamaduni huo wa kutinga na magari yao mazoezini... Video hii inakuonyesha baadhi wa wachezaji wa Simba akiwemo John Bocco, Erasto Nyoni, Ibrahim Ajib, Said Ndemla na Hassan Dilunga wakiwa na magari yao.. 🤍 Watch More Videos Here: 🤍 Watch More Videos Here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.TZ Facebook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App:
Telegram: 🤍 Subscribes:🤍 Instagram: 🤍 Facebook: 🤍 Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii 🤍